Friday, May 17, 2013

MKUTANO MKUTANO MKUTANO BWANA YESU ASIFIWE? NAPENDA KUWAARIKA WATU WOTE KWENYE MKUTANO MKUBWA WA INJILI UTAKAOFANYIKA KWENYE VIWANJA VYA BIAFRA KUANZIA TAREHE 19/5/2013 HADI 8/06/2013 KILA SIKU SAA 10-12.00 JIONI WAHUBIRI: EV. MAGOTI, JAPHET PR. CHARLES MNDAMBI KWAYA MBALIMBALI ZIKIONGOZWA NA KWAYA YA WAADVENTISTA WASABATO KINONDONI ZITAKUWEPO KARIBUNI WATU WOTE


No comments:

Post a Comment